Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Simba na Yanga ni mapandikizi ya ccm yanatumiwa kuwapumbaza watanzania wasidai katiba mpya au tume huru. Ziendelee kufungwa mpaka wazisahau

Duh,

CCM , Katiba mpya halafu tume huru...!

Labda waulize wale jamaa ambao wanatusumbuaga 'eti' Walihusika kudai Uhuru
 
Aliesema leo ni sare labda atakua sahihi..na tuombe iwe hyo sare wakitupiga lingine ndo basi tena
 
70' Sub kwa Sfaxien

Sekouhi anatoka anaingia Traore
Daouhi nje na Becha Yusuf ndani
 
Mpaka sasa ni mwezi wa 6 huu yupo na timu, hata first eleven ya kikosi hana ana bahatisha tu kila mechi.
Sio kama anapenda ila kocha ana wachezaji wengi average ndo maana anajaribu kutest kila mchezaji we angalia mavambo alianzajw ila now yuko wapi? Kocha ana kazi kubwa sana na hawa wachezaji wasiofundishika
 
Back
Top Bottom