Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Hakuna uzuri wowote kaonesha wazi wazi kuwa kaibetia Simba. Mchezaji wa CS Sfaxien alikuwa kachezewa faulo na Melon lakini alifanikiwa kuwin mpira na alikuwa anaenda kufunga kwanini hakuacha advantage pale badala yake kaona Che Melon kaachwa kapuliza kipyenga cha faulo na kumpa che Melon kadi ya njano wakati alikuwa ni mtu wa mwisho aliyezuia goli kufungwa.

Kaongeza dakika 7 bado haitoshi, hakuna tukio lolote la mpira kusimama kwenye hizo dakika lakini hakuridhika mpaka aone Simba inapata goli ili mkeka utiki
Unateseka sana mkuu

Pole yako 😂
 
Kuna Zile Hesabu za shule tulikuwa Tunasoma zimaitwa sijui mlinganyoo..

Naona Hapa Ni 4 halafu ikiwa na GD YA -4
Screenshot_20241215_182355_Chrome.jpg

Naona Hapa Inazidi Kungara tu..
Screenshot_20241215_182424_Chrome.jpg

Any wei sijui hata Nilitaka Kusema Nini 🤣🤣🤣

Hizi Pombe Hizi 🤣🤣🤣 Furaha Tu
 
Hakuna uzuri wowote kaonesha wazi wazi kuwa kaibetia Simba. Mchezaji wa CS Sfaxien alikuwa kachezewa faulo na Melon lakini alifanikiwa kuwin mpira na alikuwa anaenda kufunga kwanini hakuacha advantage pale badala yake kaona Che Melon kaachwa kapuliza kipyenga cha faulo na kumpa che Melon kadi ya njano wakati alikuwa ni mtu wa mwisho aliyezuia goli kufungwa.

Kaongeza dakika 7 bado haitoshi, hakuna tukio lolote la mpira kusimama kwenye hizo dakika lakini hakuridhika mpaka aone Simba inapata goli ili mkeka utiki
Unalalamikaaa utadhani timu ya baba yako imefungwa, acha ubwege wewe waarabu watakusaidia nini? Wala hawakujui
 
Nidhamu ya waarabu imewaponza, toka awali walikuwa wanacheza kwa mbinu zao za kujiangusha mara waingize mipira miwili miwili na nafikiri walimjibu refa vibaya!, nashuku walimtukana sasa nayeye akaamua atumie mamlaka yake!.
kuongeza dakika 7 haikuwa shida ila kwenye nyongeza kaongeza zikafika 9, na ubovu goli limepatikana ktk dakika ambazo hazikuwa zile saba!.

Naweza sema refa kaishi usemi wa simba yani "Ubaya ubwela!"...🤣

Oni langu..
Ni muda sasa timu za kaskazini haswa waarabu wabadilishe nidhamu za uchezaji wao, figisu figisu za ajabu zitakuwa zinaleta tafrani kwa wapinzani na hata refa kama ilivyojitokeza hivi leo.
CAF wamekuwa wakiwalea hawa waarabu nafikiri waongee nao.
What a point from a genius utopolo mr kenzy...
Bora ww unaangalia mpira kwny angle tofauti...
 
Hakuna uzuri wowote kaonesha wazi wazi kuwa kaibetia Simba. Mchezaji wa CS Sfaxien alikuwa kachezewa faulo na Melon lakini alifanikiwa kuwin mpira na alikuwa anaenda kufunga kwanini hakuacha advantage pale badala yake kaona Che Melon kaachwa kapuliza kipyenga cha faulo na kumpa che Melon kadi ya njano wakati alikuwa ni mtu wa mwisho aliyezuia goli kufungwa.

Kaongeza dakika 7 bado haitoshi, hakuna tukio lolote la mpira kusimama kwenye hizo dakika lakini hakuridhika mpaka aone Simba inapata goli ili mkeka utiki
Futa matokeo mkuu. Yafanye yawe 1-1.
 
Acha tubebwe kwnai hujui hujuma za waarabu?? Ww refa ana akili usifikiri yy mjinga..kama wanapoteza muda bure yy afanyaje...
Ofcoz maamuzi ya refa ndio ya mwisho ila simba tumepoteza nafasi nyingi za Kufunga timu mbovu sana
 
Back
Top Bottom