GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Chukua filimbi na kadi nenda ofisi za msimbazi ukampe hiyo kadi maloneKwaiyo mlipofunga ndio dk za kucheza zikaishia hapo,,refa alikuwa upande wenu utake usitake ata Ile rafu ya che mallon ilikuwa ni red card kwa maana alikuwa ndio mchezaji wa mwisho,,
mi sina dhambi mkuu..😅Dhambi zako zote apewe Laban og, umeandika kitu konk sana wamayu!!
Ni wepesi kusahau. Warabu wajifunze kucheza Mpira sio kulala. Na waarabu WA Jangwani pole Yao😂😂Hata jana Yanga wamerudisha kwenye dkk za nyongeza.
Kuna machine inayochezwa dkk 90 kamili!!!?
Shhhwaaaaahhh
Nakuuliza ungekuwa ligi ya mabingwa ungeambulia ata point Moja? Ungemfunga nani kwa Mpira huo,,unacheza na timu dhaifu dhaifu na bado unatoa ulimi nje vipi ungekuwa kwa wanaumeWewe ligi ya mabingwa umeshinda mechi ngapi mpaka sasa halafu nipe na msimamo wa kundi lenu
Halfu huo uchafu ulivishwa shanga mkatambia nayo mpaka ikulu na hadi sasa mnayo maungoni mwenu kama hamzitaki zivueni mkazitupeLigi ya mabingwa unalinganisha na uchafu wenu huo,,mngekuwa kwa wanaume mngeshinda ata mechi Moja kwa Mpira wenu huo,,ebu ficha ujinga wako basi
Goli la counter attack maana yake na wenyewe walikuwa wanashambulia, vipi wangefungaHakuna uzuri wowote kaonesha wazi wazi kuwa kaibetia Simba. Mchezaji wa CS Sfaxien alikuwa kachezewa faulo na Melon lakini alifanikiwa kuwin mpira na alikuwa anaenda kufunga kwanini hakuacha advantage pale badala yake kaona Che Melon kaachwa kapuliza kipyenga cha faulo na kumpa che Melon kadi ya njano wakati alikuwa ni mtu wa mwisho aliyezuia goli kufungwa.
Kaongeza dakika 7 bado haitoshi, hakuna tukio lolote la mpira kusimama kwenye hizo dakika lakini hakuridhika mpaka aone Simba inapata goli ili mkeka utiki
Msimu uliopita mpaka nafika robo fainali niliambulia point ngapi? shanga mbili fc aka mwiko nyuma 🤣Nakuuliza ungekuwa ligi ya mabingwa ungeambulia ata point Moja? Ungemfunga nani kwa Mpira huo,,unacheza na timu dhaifu dhaifu na bado unatoa ulimi nje vipi ungekuwa kwa wanaume
Jana uliona Kuna dk ziliongezwa juu ya nyongeza? Zilichezwa dk halali na sio zenu za Rose mhandoJana umepata goli dkk za nyongeza leo mnabwatuka kama manyani...
Ukibebwa bebeka. Full stop.Simba tumebebwa
Huwezi kuwa Simba au unaujua mpira ukasema hivi. Mimi ni mwanayanga. Simba kashinda. Game over.Simba tumebebwa
Tungeambulia point moja na kushika mkia kwenye kundi letuNakuuliza ungekuwa ligi ya mabingwa ungeambulia ata point Moja? Ungemfunga nani kwa Mpira huo,,unacheza na timu dhaifu dhaifu na bado unatoa ulimi nje vipi ungekuwa kwa wanaume
Kwa kiwango kipi icho,,kikombe unachocheza yanga kacheza fainali msimu juzi sasa wewe kama makundi tu ni mtihani Tena ukiwa nyumbani kwako sasa utaweza kufanya kile alichokifanya yanga?Msimu uliopita mpaka nafika robo fainali niliambulia point ngapi shanga mbili fc aka mwiko nyuma 🤣
Haya....Naye huyu kocha wa Madagascar katubeba hajatubeba????Mnategemea kubebwa na kina ndaragige haya ndio matokeo yake Sasa 😆😆
Huendi wewe na nani? Angalia statistics zote zinaibeba simba kuanzia shots on target mpaka possession.Nakwambia ukweli kwa mchezo huu simba hatuendi popote
Shhhwaaaaahhh😂😂😂Hata jana Yanga wamerudisha kwenye dkk za nyongeza.
Kuna machine inayochezwa dkk 90 kamili!!!?
Shhhwaaaaahhh