Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Acha kujiliza kenge wewe. Haya kachezeshe wewe. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ajabu Utopolo mnateseka kwa uhasidi. JANA mechi iliisha dakika ya 95 hakuna aliyezungumza mkachomoa.Leo utafikiri nyie ndio mnacheza.
Jifunzeni sheria dakika zinazoonyeshwa ni minimum.Refa ana stopwatch mpira ukisimama na yeye anasimamisha saa yake.
Sishangai kwani mumewekeza kwenye majungu.
 
Nafikiri Simba mnaiangalia mechi ya bravos na Constantine saizi,,huu ndio Mpira sasa waarabu wanapelekewa moto na tiyali chuma 2 washagongwa jiandaeni kisaikolojia na timu yenu iyo ya ungaunga mwana
 
Kundi la SImba bado nni gumu sana pamoja na kuwa la timu zisizojulikana kama Sfaxien, Constantin na Bravos. Kwenye grupu hilo timu inayojulikana ni Simba tu; hizo nyinine zote ni za uchochoroni. Mpaka sasa wote wana point 6 kasoro Sfaxien mwenye point 0.

 
Kama wamecheza hovyo kwa takwimu hizi, siku wakicheza vizuri itakuwaje?
Takwimu zinacheza Mpira? Umetawala takwimu kwakuwa ndio Mpira wa kiafrika timu ikiwa ugenini inataka ijilinde tu na kumwachia mwenyeji Mpira but sio kwamba ndio ubora usijitoe ufahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…