Kumbe upoOoowee
Tuwapige SasaKuku kama kuku tusharudisha tayari
Aaah mechi za watoto hiziUzi hata haupo Live maana michezo ya shirikisho ni kupotezeana muda bure 😀
Hata wao wenyewe wanajitoa liwalo na liwe maana hawana cha kupotezaHi timu itakula nyingi
Acha makasiriko😄😃Al wahed wahed, hawa nao kumbe ni mbuzi tu
Mmojawapo si wewe??Kuna watu wanafuatilia hii michezo ya shirikisho??
Kwani Kibu Yuko Timu gani?Kibu kawaokoa