Truth Bot AI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 307
- 731
Dakika 50Goli kama hili Yanga walihitaji dakika 30 kulirudisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika 50Goli kama hili Yanga walihitaji dakika 30 kulirudisha
Kuna sehemu unakwama, mimi nimebadili na ipo poa tu.Inagoma mkuu naona lugha Moja tu. Ni azam sports 2 HD?
Anacheza na nani na michuano gani? Wiki iliyopita alicheza na timu ya Kigango cha Mtakatifu Constantine leo anacheza na timu ya Madrasa toka msikiti mmoja wa hapo Tunisia.Simba wanacheza vizuri kuliko Yanga
Kuna watu wanafuatilia hii michezo ya shirikisho??
Ya Tripoli yanajirudia leo 3-1Mbumbumbu 1-css 2
Jana zilikua zinacheza bendi za ndombolo ya solo...Anacheza na nani na michuano gani? Wiki iliyopita alicheza na timu ya Kigango cha Mtakatifu Constantine leo anacheza na timu ya Madrasa toka msikiti mmoja wa hapo Tunisia.
Ok mimi nipo azam 1Inagoma mkuu naona lugha Moja tu. Ni azam sports 2 HD?
Ila naona pia SIMBA wana back pass nyingi ...cjui ndio kocha ameruhusu..?Che Malone kazingua sana
Badilisha lughaHivi matangazo ya kiswahili yamegoma kote au ni huku kwangu tu kwenye azam
😀😀😀 Na nyongezaDakika 50
Anakaba sawa lakini yeye anacheza karibu na goli lazima tuone mchango wake huko.Msaada wa kibu kwenye kukaba ni mkubwa sana hata kama hafungi.
Itakuwa hivo ngoja nitajaribu tenaKuna sehemu unakwama, mimi nimebadili na ipo poa tu.
Tunasoma Kwanza Mchezo hatukurupukiIla naona pia SIMBA wana back pass nyingi ...cjui ndio kocha ameruhusu..?
Fowadi hazifungui pindi mildfirlders wanapomiliki