MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Admin wameona Ujinga kuweka Live update michezo ya Shirikisho 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu AsanteOk mimi nipo azam 1
Umekosa kazi za kufanya unaangalia ligi ya vikoba ,ya kina mama,shirikishoMpira wa Moto sana kiruuuu
Labda mwili mkubwa😄😄😄Hivi kwa nini Ateba anaakaa sana offside..huwa hajui au?? Kama ile mechi constatine kila mara alikua offside
Wee nae unahangaika kama una upupu hahaa mbona jana tuliwambia sisi ndo wakawawekea...baada ya nusu saa hahahaaaAdmin wameona Ujinga kuweka Live update michezo ya Shirikisho 😂😂😂
Haikuhusu broUmekosa kazi za kufanya unaangalia ligi ya vikoba ,ya kina mama,shirikisho
Kipande kinajikuta kipo offsideLabda mwili mkubwa😄😄😄
😀😀😀Kipande kinajikuta kipo offside
Ninavyoowaangalia tu Hawa jamaa simba ikishidwa kushinda Leo ,,itakua wazembe sanaHawa jamaa hawajala?
Ni wivu tu. Wanaona tunafaidi sana.Naona mods wamekua wavivu kama jana ya utopolo...wekeni live...
Ndio uwezo wake umeishia hapo. Kujiongeza haweziHivi kwa nini Ateba anaakaa sana offside..huwa hajui au?? Kama ile mechi constatine kila mara alikua offside
Alafu mtaenda wapi we Debora FC?😀😀😀😀Uzuri ni kwamba hata Tukitoka Droo bado Tunakuwa nafasi ya Pili