Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

KIBU, AWESU , NGOMA sio wachezaji wenye uchu wa magoli...ndio maana numbers ktk box inakuwa wachache simba inaposhambulia
 
41' Mavambo Debora yupo chini baada ya kukwatuliwa na mchezaji wa Sfaxien
 
Back
Top Bottom