Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Uiandike ukiwa unatetemeka au umetuna haibadilishi ukweli kwamba ni nafasi ya 4iyo 4 umeandika kwa kujiamini kama Sio nafasi ya mwisho ivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uiandike ukiwa unatetemeka au umetuna haibadilishi ukweli kwamba ni nafasi ya 4iyo 4 umeandika kwa kujiamini kama Sio nafasi ya mwisho ivi
Makolo mmeanza tenaSimba na Yanga ni mapandikizi ya ccm yanatumiwa kuwapumbaza watanzania wasidai katiba mpya au tume huru. Ziendelee kufungwa mpaka wazisahau
Na matokeo ni ya kawaida,lazima tulikubali hilo.Kocha wa kawaida na wachezaji wa kawaida. Lazima tukubali Hilo.
Hakuna timu apo,ata hao wanashidwa kuwakandaHii ndiyo timu inayosema Yanga mbovu 🤣🤣🤣 Kuna mambo yanasikitisha sana