Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Acha tubebwe kwnai hujui hujuma za waarabu?? Ww refa ana akili usifikiri yy mjinga..kama wanapoteza muda bure yy afanyaje...
Kwenye zile dakika 7 za nyongeza kuna tukio gani lililotokea la kupoteza muda hadi refa aendelee tu kuchezesha hadi dakika ya 8 kwenda 9?
 
Refa kashinda. FIFA na CAF waiangalie hii issue ya marefa kutokuheshimu muda halali wa mchezo na kuamua wanavyoona wao vinginevyo uhuru wa marefa unaweza kusababisha malalamiko kwa timu ambazo zinafungwa baada ya muda rasmi wa nyongeza kuisha.
Hujui sheria mpya za mpira mzee unakumbuka haya mambo yameanzia word cup? huwezi kupoteza mpira dakika za nyongeza tunazihesabia........endeleeni kumeza vidonge vya presha
 
Haya mambo siyo, mnarudisha nyuma soka letu na kutia aibu Taifa.

Kulikuwa na haja gani ya kuchelewesha kumaliza mpira? Refa kanunulika waziwazi.
Marefa wanapangwa na CAF,
Maamuzi yao yaheshimiwe.
Bila nyongeza ya dakika Prince Dube angebaki hana goli hata baada kucheza mechi 25 za Yanga na Yanga wangekuwa na point zao 0.
Lakini maamuzi ya refarii yameiokoa Yanga.
 
Back
Top Bottom