Kama huna fridge lazima uogope. Kiporo cha tajiri hakichachiHakuna kitu kigumu kama kile cha kula kiporo! Na ugopa hicho kiporo kikichacha! Lawama zitasikika kila kona.
Tajiri hawekagi kiporoKama huna fridge lazima uogope. Kiporo cha tajiri hakichachi
Tumia uchawi kuisaidia familia yako muondokane na ufukara mnaopitia.kwa Sasa...kuliko kuichawia Simba ama wachezaji wa Simba ambao kwa hakika kwa Sasa wanaogelea kwenye pesa ..mchezaji mmoja wa Simba anaweza kusaidia ukoo wenu wote wa kifukaraWanangu wa mashujaa,nipo tayari kukulipa pesa yeyote utakayohitaji,nataka wachezaji wafuatao waumizwe kimaksudi na wakae nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi miwili.
Ngoma,kapombe,kagoma,kibu na mpanzu.
Eti na wewe ni mdau wa michezoWanangu wa mashujaa,nipo tayari kukulipa pesa yeyote utakayohitaji,nataka wachezaji wafuatao waumizwe kimaksudi na wakae nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi miwili.
Ngoma,kapombe,kagoma,kibu na mpanzu.
Mzee umetumwa?Tumia uchawi kuisaidia familia yako muondokane na ufukara mnaopitia.kwa Sasa...kuliko kuichawia Simba ama wachezaji wa Simba ambao kwa hakika kwa Sasa wanaogelea kwenye pesa ..mchezaji mmoja wa Simba anaweza kusaidia ukoo wenu wote wa kifukara
Ukwasi Gani unaichawia Simba...matajiri hawana hizo pigo za kimaskin za kuchawiana ..matajiri wanachawia ili waendelee kua matajiri zaidi...Mzee umetumwa? akili za umasikini hizi kutukana mtu usiyemfahamu! njoo pm nikuoneshe ukwasi nilionao ili siku nyingine usiwe unaropoka.
mtu mwenye njaa anakasirika kwa vitu vidogo sana,mkuu kwanza umesoma coment yangu kwa kukurupuka, ktk coment yangu nimesema niko tayari kuwalipa kiasi chochote watakachohitaji ikiwa watawaumiza wachezaji tajwa,masikini ana pesa za kuwalipa wachezaji? Acha hasira za kimasikini piga boda mkono uende kinywani.Ukwasi Gani unaichawia Simba...matajiri hawana hizo pigo za kimaskin za kuchawiana ..matajiri wanachawia ili waendelee kua matajiri zaidi...
Nikasirikke kwa lipi nakushangaa na ufukara wako unaichawia simba...Ukwasi Gani ulionao unaojitapa nao una muda wa kuichawia Simba...matajiri hawana hizo pigo za kimaskin za kuchawiana ..matajiri wanachawia ili waendelee kua matajiri zaidi...akili za kuwaza kumuumiza mwanaume mwenzako kisa ushabiki wa kipumbavu huo.sasa.ndio.tunaita umaskin ama ufukara uliokithiri..fakenmtu mwenye njaa anakasirika kwa vitu vidogo sana,mkuu kwanza umesoma coment yangu kwa kukurupuka, ktk coment yangu nimesema niko tayari kuwalipa kiasi chochote watakachohitaji ikiwa watawaumiza wachezaji tajwa,masikini ana pesa za kuwalipa wachezaji? Acha hasira za kimasikini piga boda mkono uende kinywani.
Sio mdau wa michezo huyo. .ni wahuni tu hao wa vijiweni.Eti na wewe ni mdau wa michezo
lebholo lya ng`wasoNikasirikke kwa lipi nakushangaa na ufukara wako unaichawia simba...Ukwasi Gani ulionao unaojitapa nao una muda wa kuichawia Simba...matajiri hawana hizo pigo za kimaskin za kuchawiana ..matajiri wanachawia ili waendelee kua matajiri zaidi...akili za kuwaza kumuumiza mwanaume mwenzako kisa ushabiki wa kipumbavu huo.sasa.ndio.tunaita umaskin ama ufukara uliokithiri..faken