FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Refa anaharibu mechi, tunataka tushinde kwa uwezo na si namna hii!!! Mashujaa wanacheza katika mazingira magumu sana, kifupi Refa anaforce goal
 
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA MWANGA WA MILELE UMWANGAXIE APUMXIKE KWA AMANI
 
BWANA EE BWANA KWA NN WASIMAMA PALE KWA NN HUJIFIICHAA HUJIFICHA WAKATI WA SHIDAAAAAAAAAAAAAAA
 
KIRUSI KIPYA CHA MALARIA KIMEINGIA
 
Linatafutwa tuta na red card ya kuforce, huyu refa ni TAKATAKA kabisa na kama ndo hivi hatuna ligi
 
Mashujaa wakielekea kwenye goal la Simba tu inakuwa offside au faulo! Mpira ukitolewa na mchezaji wa Simba faida ya kurusha wanapewa Simba haohao! Huu ni upumbavu na hii haiwezi kuwa ligi ya 4 kwa ubora, ni TAKATAKA kabisa.
 
Back
Top Bottom