FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Refa amejitahidi kututafutia goli ila imeshindikana kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa na dakika wakaongeza 6 lkn tumecheza mpaka dakika ya 55!
Second half kuna plenalty na red card. Hii ligi haiwezi kuwa ya nne kwa ubora, ina uchafu mwingi.
 
Back
Top Bottom