Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Hii mechi isipokua na kadi nyekundu na penalti sijui
tushamalizana na mpuliza kipenga sisi.ahaa kumbe na mashujaa wabishi kama tabora😁
Ah! pesa ina nguvuHii mechi isipokua na kadi nyekundu na penalti sijui
Yani mchezaji wa Simba akiguswa tu faulo!Marefa wana dhalirika sana, Kipindi cha kwanza mpira hakuna sehemu uli simama zaidi ya dk 2 lakini refa kaongeza dk 8 na faul za mchongo kibao.
Rushwa Ina haribu mpira wetu, yale ya VAR yaliyo wa beba wanatuletea kwenye Ligi sasa
Simba ni wabovu, mechi zao nyingi wameshinda kwa maelekezo. Wakicheza bila maelekezo hawatoboi.Duuh simba wana tabia ya kudharau baadhi ya mechi sijui kwanini, kusema kwamba simba ni wabovu ni kujitoa ufahamu simba wanachagua mechi kuanzia kocha hadi wachezaji, ukizingatia hivi vitimu vinakamia vinacheza utadhani vimetumwa yani kudondosha points ni dakika sifuri tu
Waingize wote hatutaki sababu sisi, wana mapigo na mwendo.Simba wamefanya mabadiliko matatu.
Kibu Inn
Zimbwe Inn
Shomary Inn
Relax. Football ni burudani, tatizo ushamba wa kujua mpira ukubwani unakusumbua. Pages zote zimejaa comments zako za malalamiko.Hizi faulo jamani!!! Mbona marefa wetu hawana aibu!?
Dakika ya ngapiAtebaaaaaa...nje
Mmmh.....kumbe nyau atashinda.
Mashujaa wachawi wale simba hatoboiMmmh.....kumbe nyau atashinda.
paka mapepeHakuna kitu kigumu kama kile cha kula kiporo! Na ugopa hicho kiporo kikichacha! Lawama zitasikika kila kona.
Duh Mungu asaidie uchawi ufanye kaziMashujaa wachawi wale simba hatoboi