Acha wivu wewe 🤣🤣🤣Ila mbeleko ya simba ni kubwa mpaka aibu tuona sie
timu ilipo kuwa na viporo mambo ya penati yaliisha huko🤣🤣🤣🤣🤣 I told youuu
Hata ikiwepo haitasaidia kitu, shida ni BahashaHii ligi inahitaji VAR kwa kweli.
Toka makolo waliposimama kucheza ligi akukua na penalti,leo wamerudi goli lao kwanza baada ya mwezi ni la penaltiAh! pesa ina nguvu