Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Penalti na red card takriban mwezi zilikua adimu,wenye penalti na red card zao wamerudi sasa 😂
Mpenja analitolea ufanunuzi kama kaulizwa vile 😂,mpenja ni kolo lia liaKadi nyekundu ya mchongo kabisa. Halafu huyu mtangazaji mwehu tu, hivi ni kweli kipa kaurudisha Mpira uwanjani? Hawa marefa bana.
IlitarajiwaRed Card kwa Kipa
Wakati tumeona hapa aliyeurudisha ndani sio yeye.Mpenja analitolea ufanunuzi kama kaulizwa vile 😂,mpenja ni kolo lia lia
Fainali ya nini ?Hongereni simba kwa kutinga FAINALI.
ZAma kati mkuu🤣Penalti na red card takriban mwezi zilikua adimu,wenye penalti na red card zao wamerudi sasa 😂
Juzi Zanzibar zimepigwa za kutoshaMara ya mwisho penalt zilikua lini?