15Dakika ngapi wameongeza
za Refa 5 🤣Zimeongezwa dakika 15
Duuu
Ushindi wa kulazimisha sasaZimeongezwa dakika 15
Dakika za kuongezwa 15 bado huamini timu yako ya Simba kupata goli kwa timu isiyo na kipa na wako pungufu?Ishakuwa DRAW. ..sioni akili pale mbele
hakikaHii aibu kwasoka letu
sasa ndio zinaanza rasmi..hadi aibu aiseePenalt na Red card tulishazisahau
Shirikisho afrika.Fainali ya nini ?