Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Sasa unadhani penat anatoa nani kama sio refa.Msingepata penati za Refa zingekuwa 10 😂😂
Mbona mnapenda kulalamika sana
Sasa unadhani penat anatoa nani kama sio refa.Msingepata penati za Refa zingekuwa 10 😂😂
fela - wanakuf!l@Chomoa kama umeumia mamaeh..ubaya ubwela kama vipi kunywa sumu kumamakeh
Wapenda mpiratatizo wakuwashughulikia ndio wanaowatuma.
ZA majeruhi? Uwanja kujaa maji au umeme kukatika katika, hakuna dakika za nyongeza HT/FT 25' hii imevunja rekodi, mbaya zaidi ikapatikana penati na mpira ukaisha, maana yake bila hivyo 30 zingefika,Kuna dakika 42 brother
Sasa hivi Kenya wanarudi kwenye mstari..ujinga kama huu uliwaponza lakini walijifunza.😂😂 ukitoa soka la Kenya linalo fata kwa vichekesho nila Bongo
Kono la nyaniMkono upi
Niliona mojaUmewahi kuona mechi gani duniani imeongezwa dakika 25? Maana hii ni extra time
Hiki ni kituko cha karne..fuatilieni hata ligi za nchi nyingine,haijawahi kutokea.ZA majeruhi? Uwanja kujaa maji au umeme kukatika katika, hakuna dakika za nyongeza HT/FT 25' hii imevunja rekodi, mbaya zaidi ikapatikana penati na mpira ukaisha, maana yake bila hivyo 30 zingefika,
Ukiangalia kwa kuweka uyanha utagundua sio penatiUkiangalia bila kuweka ushabiki utagundua sio penati
Jibu swali we kingorokundu berkene ni timu Gani?Naona tundu linakuwasha
Ilitakiwa ziongezwe 30 kutoa fundisho kwa wajingaZA majeruhi? Uwanja kujaa maji au umeme kukatika katika, hakuna dakika za nyongeza HT/FT 25' hii imevunja rekodi, mbaya zaidi ikapatikana penati na mpira ukaisha, maana yake bila hivyo 30 zingefika,
😀Kwa kudra za refa