Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndio na penalty wakapewa wao peke yao
Dakika 15 waliongezewa Simba peke yao?
Dakika 15 waliongezewa Simba peke yao?
Acha kujizima data, kipa kapigwa kadi mara 2 sababu gani?Una uhakika. Zilipotea dk 15 really ???
Acha utapeli wewe...Sijaangalia wala kusikiliza ila kwa ninachosikia kwa kelele huko nje, kwamba dakika 19 zimeingezwa basi Hongeleni kwa kubebwa.
Hadi shabiki wenyewe wa simba wanakaa kimya kikuu kwamba hapa 'tumebebwa asee!'
Acha kulialia we chura, tulia dawa iingie.Ungese mtupu, hii ndio timu tunatarajia imfunge Berkene, labda wamfunge hapa JF.
Lina marefa wameanza kubalance utoaji wa penati?Ndio na penalty wakapewa wao peke yao
Kosa hana makosa katimiza malengo yake ya kuhakikisha Simba inashinda mechi kwa namna yoyote ile. Mission accomplished, utaona vipi makosa ya mwamuzi wakati umefurahia kilichofanywa na mwamuzi bila kujali usahihi wake?Ujinga mfanye nyinyi lawama mpeleke kwa refa.
Onyesha kosa la refa ni nini
Tutanunua Hadi za derby na mechi hio tutawafanyia.ukatili.mkubwa sana Hadi mtoe machozi ya damu ...Wazee wa penalti za kununua
Chomoa kama umeumia mamaeh..ubaya ubwela kama vipi kunywa sumu kumamakehshabiki maandazi,wewe shabiki gani?matako au?
Lina marefa wameanza kubalance utoaji wa penati?
Labda wa NyaniMkono upi
Unataka wasipewe kisa ni Simba?Mechi za simba karibia zote zina penalty na red cards