Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Ulitakaje? Mashujaa ashinde?Atoke aje mtu atakayeweza kuboresha mpira wetu siyo upuuzi huu tunaouona kila siku kama kashindwa kusimamia ligi atoke tu upuuzi
Subiria mwakani
Ulitakaje? Mashujaa ashinde?Atoke aje mtu atakayeweza kuboresha mpira wetu siyo upuuzi huu tunaouona kila siku kama kashindwa kusimamia ligi atoke tu upuuzi
Utachezesha weweYa derby haiwezi kuchezeshwa na Kayoko wenu huyo.
Aha ha ha maajabu hayataisha dunianiView attachment 3322454
Litakufa Jitu Leo...
#nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
1. SIMBA
View attachment 3322721
2. MASHUJAA FC
View attachment 3322722
Updates...
Dk 04'
Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona.
Inapigwa haileti madhara.
Valentino..
DK 05'
Goooooooal Mashujaaa
Wanaweka chuma cha Kwanza.
Hapa
0-1
HT
Simba 0-1 Mashujaa.
2nd Half
Simba wamefanya mabadiliko matatu.
Kibu Inn
Zimbwe Inn
Shomary Inn
Duchu Out
Ouma Out
Balua Out
game on.
0-1
DK 65
Simba wanapata Penati.
Anapiga.
Ateba...
Gooooooooal
Simba wana level score board hapa.
1-1
DK 75,
Kipa wa Mashujaa analewa kadi ya njano ya pili (red card), baada ya kurudisha mpira uliokuwa nje ndani.
Simba wakiwa wanaenda kupiga kona.
Mashujaa walishamaliza Sub hivyo kipa anatoka ndani.
Itabidi wacheze 9 tu .
1-1
DK 90'
Zimeongezwa Dakika 15.
1-1
Dk 90+ 16'
Mpanzu anachezewa Faulo ndani ya box
Wanapata Penati anapiga Ateba.
Goooooooooooal...
2-1
FT
2-1
Ila wakikutana nao wanawalegezea halafu wakishinda timu pinzani ndio wanafurahia badala yao..Utopolo wanahonga timu ndogo ziwakazie simba na ziwalegezee wao lakini kichapo kitaendelea kuambatana na maumivu makali hadi mnyooke
Karia ndie Rais bora wa TFF kuwahi kutokea. Atake asitake tutamlazimisha aendelee kuongoza TFF.Atoke aje mtu atakayeweza kuboresha mpira wetu siyo upuuzi huu tunaouona kila siku kama kashindwa kusimamia ligi atoke tu upuuzi
Tulishayaona hayo mapema.Deal done
Malengo yametimia
Kashinda 2-1
Ila ukweli utabaki
SImba ni ccm iliyochangamka.
No reform No election.
Umesahau kwamba Bodi ya LIGI ndiyo inayopanga mwamuzi. Msianze kuilalamikia tena mpaka CASYa derby haiwezi kuchezeshwa na Kayoko wenu huyo.
Wewee sio Simba ni pandikizi...Rudi utopoloni.Simba my team ila mioyo inawasuta
Mkubali
Ila uwezo hatuna
Huna kocha.
Huna wachezaji.
Heee.aiseee mtafuttie tusi jingine utamuualebholo lya ng`waso
Kwanin aibu mkuu?Hii aibu kwasoka letu
Hapana Arajiga au Afande SandyUtachezesha wewe
Ndio tulitamani.goli zaidi ya 6 tuwaulie mbali manina zenu ...na waliowatuma na pesa mlizowaahidi ili waikamie simba wote tuwapige goli sita...Wameshinda ila hawana furaha
Bodi itaamuaHapana Arajiga au Afande Sandy
Mpuuzi huyo hata hataki kujua sababu za kuongezwa. Ameshindwa kuficha upumbavu wakeDakika 19 zimeongezwa kwa Simba peke yao?
Acheni ujinga kama wa CAS
Ujinga mtupu mazingira ya sasa ya mpira yanambeba, sasa hivi serikali imewekeza kwenye michezo, mpira sasahivi unalipa siyo kama zamani, maendeleo ya technology ni makubwa, lakini mpira kauharibu, akija mtu makini tutafika mbali sana kwa uwekezaji huuKaria ndie Rais bora wa TFF kuwahi kutokea. Atake asitake tutamlazimisha aendelee kuongoza TFF.