FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Kibendera ndio kachoma pale, hata wachezaji walivyomuatak refarii akawaelekeza wakamlalamikie kibendera.
Ila wamama mngetuachia mchezo wetu sisi wababa, mbona sisi hatuwaingilii kwenye mchezo wenu wa rede???
Wewe unaonaje ile sio penati? Ile sio faulo?
 
Ujinga mtupu mazingira ya sasa ya mpira yanambeba, sasa hivi serikali imewekeza kwenye michezo, mpira sasahivi unalipa siyo kama zamani, maendeleo ya technology ni makubwa, lakini mpira kauharibu, akija mtu makini tutafika mbali sana kwa uwekezaji huu
Wapi Kwa Sasa serikali imewekeza Kwenye mpira na huo uwekezaji haukuwepo kipindi cha Malinzi?
 
Amna mzee wangu.
Tunasimama na ukweli hatuna uwezo tu kiri.
Wewe umetoka mechi kubwa ya kuingia fainali umetumia nguvu nishati kubwa unategemea kuja kucheza kwenye kiwango chako ndani ya siku 2 ? Halafu unacheza na timu ambayo kwanza nje ya uwanja Ina mashinikizo ya mambo mengi kuikamia Simba..waahidiwe pesa, hapo wnapambana wasishuke daraja, unategemea nini, nakubaliana na wewe upande wa mshambuliaji tu..hakuna mshambuliaji ila usiseme eti Simba Haina uwezo...acha dharau, ingia kwenye 18 za Simba ndio utajua..chukulia tungekua na mtu kama mayele ..Hawa mbwa leo wangekula goli 10 ..tunatakiwa kua na mshambuliaji katili tu pale mbele
 
Matokeo ya simba vp
Mm shabiki kindakindaki wa Yanga nataka nijue😶‍🌫😶‍🌫
 
Back
Top Bottom