FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Soka letu kivyetuvyetu 😁😁😁😁!
 
Aibu kwa nini hajazidisha hizo 15, sababu Simba kapata goli.
 
Refa Ikibidi waongeze dakika 45 nyingine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ubaya ubwela

Hadi mseme kwanini mliifunga Simba goli 5
 
Back
Top Bottom