chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,166
- 2,416
Englaba tout puissa simber
Karia ajiuzulu tu upuuzi anaharibu mpira wetuView attachment 3322454
Litakufa Jitu Leo...
#nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
1. SIMBA
View attachment 3322721
2. MASHUJAA FC
View attachment 3322722
Updates...
Dk 04'
Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona.
Inapigwa haileti madhara.
Valentino..
DK 05'
Goooooooal Mashujaaa
Wanaweka chuma cha Kwanza.
Hapa
0-1
HT
Simba 0-1 Mashujaa.
2nd Half
Simba wamefanya mabadiliko matatu.
Kibu Inn
Zimbwe Inn
Shomary Inn
Duchu Out
Ouma Out
Balua Out
game on.
0-1
DK 65
Simba wanapata Penati.
Anapiga.
Ateba...
Gooooooooal
Simba wana level score board hapa.
1-1
DK 75,
Kipa wa Mashujaa analewa kadi ya njano ya pili (red card), baada ya kurudisha mpira uliokuwa nje ndani.
Simba wakiwa wanaenda kupiga kona.
Mashujaa walishamaliza Sub hivyo kipa anatoka ndani.
Itabidi wacheze 9 tu .
1-1
DK 90'
Zimeongezwa Dakika 15.
1-1
Si huwa wanaongeza zilizopoteaUnaongoze dk 15 seriously 😀😀
Bado mpaka goli la 3 ndio uishe😀😀LiveScore inaonyesha dakika za nyongeza hadi sasa ni 19
Kabisa yaani, waamuzi wanapaswa kudhughulikiwa Ili kutoa funzoDuuuh, hii liginishakuwa ya Hovyo
Kwani wakati kipa anatolewa zilipotea dakika ngapi wakat analeta kiburi na FujoUnaongoze dk 15 seriously [emoji3][emoji3]
Sasa mimi ugomvi utoke wapi na ninakuambia ukweli wote. Mmebevwa leo bila hiyanaMaana umefura kama chura. Football siyo ugomvi. But wewe mwenzetu 😀 😀
shabiki maandazi,wewe shabiki gani?matako au?Unaujua mpira ama shabiki maandazi
Acha GSM anunue watukazie na sisi tunakazaWazee wa penalti za kununua
Kwani wameongezewa timu moja?Unaongoze dk 15 seriously 😀😀