FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ubaya ubwela

Hadi mseme kwanini mliifunga Simba goli 5
Refa kajionyesha kabisa anavyowabeba
 
Ndio uzuri wa kupoteza muda mwanzoni, baadaye unaanza kuona opponents ndio wanapoteza muda
 
Timu ndogo zifunfishwe displine ya foot ball...
Badala ya kulaumu waamuzi
Ingekuwa penati zinatolewaga tu kienyeji hivyo basi Simba ingetolewa na Stellenbosch Jumapili. Lakini kwavile ni matukio yanayonufaiisha timu unayoipenda basi shabiki hugeuka kipofu
 
Ungese mtupu, hii ndio timu tunatarajia imfunge Berkene, labda wamfunge hapa JF.
 
Leo football imekua basketball hadi apatikane mshindi
 
Back
Top Bottom