FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Match ndogo hivi inatutoa jasho dadeki
 
Dk 15 wameongeza na huyu refa anayechezesha ni dhahiri amebetia simba

Duuh hadi aibu

Usimba na uyanga unaua mpira TZ.....Mtu kashashenyetwa ila anabebwa ili amfikie yanga kileleni waende kuleta SIASA.
 
Back
Top Bottom