Kwani kwa Yanga ikitokea Wanayanga huwa wanasema.Hutasikia wakisema ila ikitokea kwa Yanga sasa
Tulia dawa iingie vizuri. Janja ya GSM watu wameshaigunduaMtoto wa kiume kubebwa aibu. Pambana mwenyewe
Hii ni mechi ya kwanza msimu huu kuongezwa Dakika 15
Ndio mmeamua kubebwa. Mkiombwa ndogo mtatoa?Tulia dawa iingie vizuri. Janja ya GSM watu wameshaigundua
Tena kwakutapa tapa na kuhangaika 🤣🤣Kuna siku mashabiki wa simba waliita hii ligi bonanza leo hii wanaicheza daah
Bila sababu za msingiHii ni mechi ya kwanza msimu huu kuongezwa Dakika 15
Mpo vizuri ndio maana mpo fainali shirikisho.Simba tuna hali mbaya sana . Safu ya ushambuliaji ni butu
Wewe unashabikia timu gani?Ndio mmeamua kubebwa. Mkiombwa ndogo mtatoa?