FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Ni mwendo wa undava undava tu mpaka ubingwa maana hawa GSM walianza kutuzoea vibaya... kumamaer this time tunabeba ubingwa labda dunia ipasuke... mlishatuzoea sana nyie mabwege.
 
Kwani walizopteza Simba na Mashujaa uwanjani ni ngapi hadi unakataa kuongezwa 25.

Mchezo wa kawaida tu ambapo tunaona hakuna upotezaji wa muda huwa zinaongezwa 3 hadi 5. Otakuwa huu ambapo timu inafikia hadi kipa kupewa kadi 2 za njano.

Nendeni kasi kama mnaona mmeonewa mashabiki wa Utopolo.

Kafumgwa Mashujaa maumivuj yanasikaka matopeni
Msingepata penati za Refa zingekuwa 10 😂😂
 
Kwani walizopteza Simba na Mashujaa uwanjani ni ngapi hadi unakataa kuongezwa 25.

Mchezo wa kawaida tu ambapo tunaona hakuna upotezaji wa muda huwa zinaongezwa 3 hadi 5. Otakuwa huu ambapo timu inafikia hadi kipa kupewa kadi 2 za njano.

Nendeni kasi kama mnaona mmeonewa mashabiki wa Utopolo.

Kafumgwa Mashujaa maumivuj yanasikaka matopeni
Umewahi kuona mechi gani duniani imeongezwa dakika 25? Maana hii ni extra time
 
Screenshot_20250502-195655~2.png
 
Back
Top Bottom