FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Najua wana yanga tumetoka mafichoni leo tunaweza pata furaha Niliwa miss wananch wenzangu
 
Marefa wana dhalirika sana, Kipindi cha kwanza mpira hakuna sehemu uli simama zaidi ya dk 2 lakini refa kaongeza dk 8 na faul za mchongo kibao.
Rushwa Ina haribu mpira wetu, yale ya VAR yaliyo wa beba wanatuletea kwenye Ligi sasa
 
Hawa marefa wanachezesha mpira kwa maelekezo kama bodi ya ligi, mechi haina VAR ila maajabu kipindi cha kwanza tu zimechezwa dakika 53 na upuuzi badala ya 45🙌😀

Ligi ya ndondo hii full uhuni!
 
Rushwa gani?
Sema bahasha...au envelope
 
Hawa marefa wanachezesha mpira kwa maelekezo kama bodi ya ligi, mechi haina VAR ila maajabu kipindi cha kwanza tu zimechezwa dakika 53 na upuuzi badala ya 45🙌😀

Ligi ya ndondo hii full uhuni!
Itaisha baada ya sisi kushinda.
Tulieni hivyo hivyo
 
Duuh simba wana tabia ya kudharau baadhi ya mechi sijui kwanini, kusema kwamba simba ni wabovu ni kujitoa ufahamu simba wanachagua mechi kuanzia kocha hadi wachezaji, ukizingatia hivi vitimu vinakamia vinacheza utadhani vimetumwa yani kudondosha points ni dakika sifuri tu
 
Wachezaji hawana rotation.
Awesu, Duchu,, Balua hawana game fitness
 
Back
Top Bottom