Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba SC leo itakuwa na kibarua cha kumenyana na timu ya Al Merrikh kutoka nchini Sudan katika dimba la Benjamin Mkapa. Mchezo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Al Hilal nchini Sudan, timu hizi zilitoshana nguvu kwa kutofungana.

Kikosi cha Simba SC kitakachoanza leo dhidi ya Al Merrikh, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam Tanzania.




MPIRA UMEANZA: Dakika ya 1 = Simba 0-0 Al Merrikh

Dakika ya 17 Goli - Luis Miqussone

Dakika ya 38 Goli - Mohammed Hussein Tshabalala

Dakika ya 43 - Joash Onyango anaomba kutolewa uwanjani baada ya kupigwa na mpira kichwani na kupata huduma ya kwanza

Dakika ya 45- Anaingia Erasto Nyoni kuchukua nafasi ya Onyango

Zimeongezwa dakika 3

MAPUMZIKO:
Simba 2-0 Al Merrikh



KIPINDI CHA PILI

Simba: Mzamiru anatoka anaingia Bwalya

Al Merrikh: Ahmed Yosuph anachukua nafasi ya Mohamed

Dakika ya 49 Goli - Mugalu

Simba: Dakika ya 71, Mugalu anatoka anaingia Kagere, Morrison anatoka, anaingia Jonas Mkude

Simba: Dakika ya 82 Luis anatoka anaingia Kahata


DAKIKA 90 : Simba 3 - 0 Al Merrikh

DAKIKA ZA NYONGEZA


FT: Simba 3-0 Al Merrikh
 
Mwenye link nisaidie niangalie mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…