Sanaaaa!!!!!full burdaan!!!!Acha nivimbe dada hakuna namna simba inatupa raha sana
SawaBasi kautoe mwiko wako kwenye chumba chao cha kubadilishia nguo
Goooooooal Chama baba, akirandia simba sports club goli la 3
Wakija hapa kitawaka.Congo giants wamekuwa mdebedwo
Hafai kuwepo kwenye kikosiIfike Muda Gomez Alaumiwe kwa Kuendelea Kumpanga Mugalu kwenye kikosi
Mugalu na Sapong yupi boraZaidi ya kutafuna tafuna big G hakuna lolote analofanya
So kesho tutegemee press ya kibonge na waandishi wa habari?Ana engine nzuri lakini footwork yake ni mbovu halafu anapotezaga mipira mingi sana
Kabisa aiseeMORRISON NI MTU NA NUSU
MPAKA SASA NI MAN OF THE MATCH
Sheria hairuhusuBasi wangegoma kuingiza timu uwanjani. Au unaonaje?
Wakija hapa kitawaka.Congo giants wamekuwa mdebedwo
Peleka rufaa CAFSimba kafunga gori la offside
Hivi kwani na we ni Yanga utopolo kidimbwi fc kweli?😂
Wa kuwakera kahusika kwenye magoli yote mawili, kesho mwenye kilo zake atakuwa na press
Kaka mbona kikosi cha merrekh kimebadilika kwa wachezaji 4 tu ukilinganisha na mechi ilopitaKey players nane wa Al Merrikh hawapo wewe unategemea kutakuwa na Ushindani hapo
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Sina hakika ila nafikiri game na vita ni ya mwisho.Hivi wakulungwa game ijayo na As Vita si ndio itakua do or die kama matokeo yakibaki hivi? It means Vita hatakubali kufa tena..na wakati huo mnyama atakua anahitaji point moja ili afuzu robo fainali.
Acha ujinga wewe, kilichofanywa na Namungo ndiyo Simba wamekifanya leo, jambo ambalo ni fine tu......kwamba wanaopima ni wamalawi au? Na ina maana key players tu ndiyo wanaumwa? Mi nimeipenda tu fitna ya SimbaHapana, hapa unatafuta visingizio vya kitopolo kwa niaba ya Wasudan. Simba haijawanyanyasa, labda mkiingia kwenye ligi za CAF kwa mgongo wa Simba mwakani, pengine mtaelewa anayepima Covd19 ni nani
Taifa stars mara ya mwisho kuishangilia sikumbuki ilikuwa ni liniEti Stars wanaenda kina Mwamunyeto