SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Unalinda ili iweje?Doh
Why not mkude?
Labda tukipata la 3 tutaanza kulinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalinda ili iweje?Doh
Why not mkude?
Labda tukipata la 3 tutaanza kulinda
Mmh hapa naona kocha anataka mabao na kushambulia zaidi maana katoa kiungo mkabaji kaweka mshambuliajiBwalya in mzamiru out
Bwalya hakabi..Unalinda ili iweje?
Ni yeyeHahahaha Mugaluuuuuu
Yes atokeHata kama bado tunamtaka kagere
INASIKITISHA SANA KWA KWELIWachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa
Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona. Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti kuwa wanaamini ni mpango wa kuwadhoofisha ambao umechezwa jambo ambalo limewafanya wapeleke file...www.jamiiforums.com
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Sasa kama hakabi ndio timu ishambulie sasaBwalya hakabi..
Beki ( nyoni, kenny) hawapo uzuri mipira ya kichwa
Tutamuomea Manula bure
Unateseka ukiwa wapi mr utoWachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa