Kwa hiyo magazeti yatasema tumewafunga Utopolo na sio Al MerrikhKey players nane wa Al Merrikh hawapo wewe unategemea kutakuwa na Ushindani hapo
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Mugalu jinga sana hili jamaa
Hapana, tunamaliza na Al Ahly kwao..ila kiuhalisia hiyo game hatutoki..na ndio maana nikasema game ya As Vita ndio ya kuamua..yaani kiufupi kundi bado gumu.Sina hakika ila nafikiri game na vita ni ya mwisho.
Wewe wasemaKwa hiyo magazeti yatasema tumewafunga Utopolo na sio Al Merrikh
Ni kweli lakini sio wa kutegemea kufungaLakini ndo aliyepiga penati ya ushindi kule congo na As vita.
kukosa magoli ni KAWAIDA
Bado MugaluAfadhali Mzamiru katolewa
Dakika 90 zitaamuaKaka mbona kikosi cha merreck kimebadilika kwa wachezaji 4 tu ukilinganisha na mechi ilopita
Simba nao mbona wamebadili unaona kuna kennedy morrison manula bwalya
Sent from my X-TIGI_V13 using JamiiForums mobile app
Watopolo hawadanganyiki tena, wameshatambua tatizo ni wao wenyewe, hakuna anaewaoneaSo kesho tutegemee press ya kibonge na waandishi wa habari?
El MerrikhKocha wa el merick kaanza paniki za mapema
Ni 45 mkuu
Kashatoa assist kabisa, second half anaweza kuongea na nyavu..Kudadeki mzee wa kukera ndani
Anakufa mtu leo
Acha wivu mkuu ushindani upo tuKey players nane wa Al Merrikh hawapo wewe unategemea kutakuwa na Ushindani hapo
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Ni kweli lakini sio wa kutegemea kufunga
Penalt hata nyoni atapiga..
Sec half atoke!
Tukienda Misri aanze