OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #281
Hivi wakulungwa game ijayo na As Vita si ndio itakua do or die kama matokeo yakibaki hivi? It means Vita hatakubali kufa tena..na wakati huo mnyama atakua anahitaji point moja ili afuzu robo fainali.
TulieniWachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa
Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona. Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti kuwa wanaamini ni mpango wa kuwadhoofisha ambao umechezwa jambo ambalo limewafanya wapeleke file...www.jamiiforums.com
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Hahaaa mzee wa kuvizia yuko njema kwa beki hizi akiingia lazima atupieMpaka sasa bora atoke kagere tungekua 7; saiz
Waulize wenyeweNa kipimo sahihi cha utopolo ni kipi, ni kikosi cha coastal union au polis..!?
Ushuzi huwa haubaniki mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima utafute upenyo na kutokanimevumilia nikachoka acha nikomenti tu.
HONGERENI WATANI KWA YANAYOONEKANA HUKO KWA MKAPA[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ruvu shooting🔥 tunawatakia ushindi wawakilishi wetu katika mashindano🏆 ya #CAFCL timu ya SimbaSC🦁 katika mchezo wao leo pale Dar es salaam
Naona leo Mtani umetwambia Ukweli, huyu Mugalu tutaanza kumbebea Mabango ya kumtaka aondoke Simba, Jinga sanaZaidi ya kutafuna tafuna big G hakuna lolote analofanya
Subiri kwanza, tunadaiwa kutoa sare moja na AS Vitampaka sasa Mnyama kufuzu ni asilimia kubwa, kwa sasa tujipange kwa ajili ya kufuzu kuingia Nusu Fainali