Kakosa naniaisee yani nashindwa nilaumu kukosa hilo goli au nishangilie
Tuwauzie YangaChama simuelew siku iz
Jiheshimu sijakukashifu na wewe usinikashifuSawa dada mvaa vjora na madela unateseka ukiwa wap
Awana hela ao.Tuwauzie Yanga
Umechelewa kubana mkuuMpira ni uchawi mkubwa sanaaa. Leo nimeota Simba hawajafuzu robo fainal.
hii ni baada ya kupigwa match zote mbili zilizobaki, hivyo akaringana na Vita club ila Vita ikasonga mbele kwa advantage ya magoli mengiπ keep waiting. hii coment itakuja kufanyiwa reference wakuu. najua mtasema mm utopolo. sawa ila ndoto zangu zinakuwaga 100%π€£π€£π€£
Hapo inakuwa na maana gani kwetu kama simba ktk misimamoal ahly nao wametupia la 3
Hatujaridhika na wao pia wanafungukaMagoal mtaji lakini tumeridhika na goal 3[emoji20][emoji20][emoji20]
ππππUmechelewa kubana mkuu
Unasahau kwamba, kwa Mkapa . . . . . . . .