NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ahsante kwa uzi mzuri sana sana kabisa kabisa kabisa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, tukitoa sare na Vita hapa kwa Mkapa au na Ahly ugenini, moja tu inatosha.Simba wakipata point moja zaidi itawasaidia kuvuka hatua ya makundi?
Saaana kaka saana.Mkuu lazima tuongoze kundi, tunaua farao nyumbani kwake
Sasa mkuu As Vita keshajeruiwa uko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simba,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai?Yeah, tukitoa sare na Vita hapa kwa Mkapa au na Ahly ugenini, moja tu inatosha.
Tunaongeza maumivu kwenye mshonoSasa mkuu As Vita kesha jeruiwa huko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simb,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai?
Nimekupata nimekupata mkuu.
Kaka punguza munkaliMo Dewji pigia kocha amtoe Mugalu. kama hataki aachie ngazi
Vita anakaaa mapema sana sina shaka na kikosi changu!!Sasa mkuu As Vita keshajeruiwa uko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simba,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai?
Kaka chumba sana, tangu lini Samia akawa na serikali?Serikali ya Samia itoe tamko
Aminiaaaa,miamiaaaaa.Vita anakaaa mapema sana sina shaka na kikosi changu!!
Ila imekaa poa Sana mkuu, kusema serikal ya Mam Samia Suluhu Hassan ...au unasemaje mkuu!?Kaka chumba sana, tangu lini Samia akawa na serikali?
Anakumbuka mwenzake alifukuzwa baada ya kutoa sare na Simba, sasa anawaza itakuwaje baada ya yeye kufungwa na simba?Kocha wa el merick kaanza paniki za mapema
Hakika jezi zimewaponzatatizo jezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Tusubiri 2025 akigombea na kupitishwana Chama tutampa, Ila kwa Sasa Serikali imeundwa na Mh. JPMIla imekaa poa Sana mkuu, kusema serikal ya Mam Samia Suluhu Hassan ...au unasemaje mkuu!?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mashabiki walikua nje ya uwanja wanashangilia kama vile mpira wanauwona.This is Simba.Caf wanameshapata salam za mnyama pamoja na kuzuia mashabiki