changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
H2H inahusisha goli la ugenini ndio.Itategemea AS Vita atamfunga Simba goli ngapi. Ili Vita apite atatakiwa kumfunga Simba pale Kwa Mkapa kwa tofauti ya kuanzia goli 2, yaan 2-0, 3-1 etc.
Maana timu zinapolingana points huangaliwa H2H baina yao. Sijajua kama hii H2H huhusisha pia advantage ya goli za ugenini