Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

Itategemea AS Vita atamfunga Simba goli ngapi. Ili Vita apite atatakiwa kumfunga Simba pale Kwa Mkapa kwa tofauti ya kuanzia goli 2, yaan 2-0, 3-1 etc.

Maana timu zinapolingana points huangaliwa H2H baina yao. Sijajua kama hii H2H huhusisha pia advantage ya goli za ugenini
H2H inahusisha goli la ugenini ndio.
 
Wakuu bado kundi gumu..tukimtoa El Mereikh waliobaki bado wana nafasi ya kufuzu robo fainali,mpira una suprise nyingi..ni suala la kusubiri na kuona.
 
Mimi nadhani kama simba atafungwa game zote na Vita akashinda zote kitakachoangaliwa ni goal difference ambayo mpaka sasa bado inambeba Simba ambaye amefunga magoli 5 na hajafungwa lolote hivyo ana goal difference ya +5, huku Vita amefunga 6 na amefungwa 6 hivyo ana goal difference ya 0.

Hivyo ili vita apite inabidi amfunge Simba goal labda 3 pia Ahly amfunge simba magoli mengi huku Vita akiendelea kujitahidi asifungwe zaidi ili goal difference zimbebe,

Ni kwa mtazamo na maono yangu,
Hawaangalii goal difference bali wanaangalia H2H. Angalia hapo chini Casablanca wako juu ya Mamelodi pamoja na Mamelodi kuwa na magoli mengi zaidi ya Casablanca, lakini wapo chini kwasababu wameruhusu goli la ugenini dhidi ya Casablanca mamelodi walishinda (2:1) huku game yao Morocco Mamelodi wakifungwa (1:0)
Screenshot_2021-03-16-19-15-02-666_org.mozilla.firefox.jpg
 
Sawa mkuu.
Kwa mfano Vita akishinda mechi zake zilizobakia na Simba afungwe zote,apo watalingana point kati ya Simba na Vita,je nani atapita apo?
Kwenye head to head nani kamfunga mwenzake goal nying
Ikishindikana hapo wataangalia tofauti ya goal za kufunga/kufungwa
Naweza kusahihishwa
 
Game zote za grupu simba kaongoza kwa kumiliki mpira sio home wala away
 
Hawaangalii goal difference bali wanaangalia H2H. Angalia hapo chini Casablanca wako juu ya Mamelody pamoja na Mamelody kuwa na magoli mengi zaidi ya Casablanca, lakini wapo chini kwasababu wameruhusu goli la ugenini dhidi ya Casablanca mamelody walishinda (2:1) huku game yao Morocco Mamelody wakifungwa (1:0)View attachment 1727297
Hapa pamenifikirisha, Sasa AS VITA alipigwa kwao na Simba....ndo kusema AS VITA akifurukuta saaana ataishia point 10 ambazo Simba Sasa anazo. H2H VITA alipigwa na Simba tena nyumbani...! Kwa hiyo Kwa Simba njia Nyeupee....
 
Back
Top Bottom