NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ni kweli kabisa ulichosema[emoji23]
Ok, tunahitaji point moja tu sasa.Hapana,tunamaliza na Al Ahly kwao..ila kiuhalisia hiyo game hatutoki..na ndio maana nikasema game ya As Vita ndio ya kuamua..yaani kiufupi kundi bado gumu.
Umesahau tabia ya vyura ya kupiga kelele.Kufungwa wafungwe al merrikh kuteseka wateseke mashabiki wa yanga
Watateseka na watapata madonda ya tumbo mpk wakome!!!Kufungwa wafungwe al merrikh kuteseka wateseke mashabiki wa yanga
Wanasikitisha sanaUmesahau tabia ya vyura ya kupiga kelele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]Wengine wameamua kuhamia Ruvu Shooting [emoji16][emoji16][emoji16]
Haina shidaa.. Imepita hiyooNiwekee baada ya kwaresma kuisha bwana nipo kwenye mfungo baba trev
***** unaumia ukiwa wapi dogo..
Mkunduma aliyezingua Leo ni chama tu..Kapombe naye anazingua
Mkuu lazima tuongoze kundi, tunaua farao nyumbani kwakeSimba wakipata point moja zaidi itawasaidia kuvuka hatua ya makundi?