Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

Goal

Simba inaongoza kwa goli 1
Your browser is not able to display this video.
 
Safi sana ila wapunguze kukosa magoli ya wazi hii mechi tunatakiwa kushinda gali hata 5 kwa uhakika zaidi.
Indeed.
Mpaka sasa nyavu za Simba hazijatikiswa na timu yoyote lakini tuna ukame wa magoli japokuwa tuna points nyingi.
 
Tumekosa magoli ya wazi possession 79% simba wakati 21% na goal letu kuna offside ilitokea
 
Namuona tu Sarpong Mugalu akikosa goli la wazi kabisa! Goli ambalo hata mimi katika uzee wangu huu nisingeweza kulikosa! Yaani yeye na golikipa, anataka kufunga kama Lionel Messi!!

Angekua Kagere, asingekosa goli la wazi kama lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…