Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

Beki ya el merrikh imefinywa
 
Namuona tu Sarpong Mugalu akikosa goli la wazi kabisa! Goli ambalo hata mimi katika uzee wangu huu nisingeweza kulikosa! Yaani yeye na golikipa, anataka kufunga kama Lionel Messi!!

Angekua Kagere, asingekosa goli la wazikama lile.
Huyu jamaa amempa nini kocha
 
Uwanjani hakuna mashabiki kama mnavyoona

 
Hii mechi tukipigwa wachezaji mtafute cha kutuambia use**nge mnafanya
 
Hahahaha huyu Mugalu nipeni namba zake.. nahitaji huduma ya mganga wake
 
Back
Top Bottom