Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanateseka mpaka baasi!!!!Ila jamani mashabiki wa yanga kwa nini mnateseka hivi
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]tatizo jezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Weekend hii nitakuita palee...Usisahau kutuma na ya kutolea
Sub nzuri. Kagere atapata baoKagere na mkude in
Morrison na mugalu out
Kufungwa wafungwe Al merrikh kuteseka wateseke mashabiki wa YangaWanateseka mpk baasi!!!!
Kwa uzezeta Saporng yupo juu.Mugalu na Sapong yupi bora
Niwekee baada ya kwaresma kuisha bwana nipo kwenye mfungo baba trevWkend hii nitakuita palee...
Heineken zako 6 kama kawaida
Haistui wamekutana na vibonde wa kundi...Jamani jamani simba hii
Wengine wameamua kuhamia Ruvu Shooting 😁😁😁Ruvu shooting🔥 tunawatakia ushindi wawakilishi wetu katika mashindano🏆 ya #CAFCL timu ya SimbaSC🦁 katika mchezo wao leo pale Dar es salaam
Ruvu shooting🔥 tunaendelea kuwaunga mkono wawakilishi wetu katika mashindano ya kimataifa Tunasema tofauti zetu ni katika ligi 🇹🇿 kuu
SawaRuvu shooting[emoji91] tunawatakia ushindi wawakilishi wetu katika mashindano[emoji471] ya #CAFCL timu ya SimbaSC[emoji881] katika mchezo wao leo pale Dar es salaam
Ruvu shooting[emoji91] tunaendelea kuwaunga mkono wawakilishi wetu katika mashindano ya kimataifa Tunasema tofauti zetu ni katika ligi [emoji1241] kuu
Wanatutengenezea njia kabisa hawaal ahly nao wametupia la 3
Tumewazoea na maneno yenuHaistui wamekutana na vibonde wa kundi...