Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwa spidi hii wanatulia time sana Simba, kwao tukatafute droo ya hali na malial ahly nao wametupia la 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa spidi hii wanatulia time sana Simba, kwao tukatafute droo ya hali na malial ahly nao wametupia la 3
Leo umekua Babu kifimbo cheza[emoji23]
dk 80 vita club 0 alahaly 3. mechi ikiisha hivihivi, bado sare inahitajika?Subiri kwanza, tunadaiwa kutoa sare moja na AS Vita
Ndiodk 80 vita club 0 alahaly 3. mechi ikiisha hivihivi, bado sare inahitajika?
Ndio, Vita wakishinda mechi 2 tunalingana point. Merrick wakiwa Congo wanaweza kufungwa 10dk 80 vita club 0 alahaly 3. mechi ikiisha hivihivi, bado sare inahitajika?
Amka mkuu usijeukakojoa kitandaniMpira ni uchawi mkubwa sanaaa. Leo nimeota Simba hawajafuzu robo fainal.
hii ni baada ya kupigwa match zote mbili zilizobaki, hivyo akaringana na Vita club ila Vita ikasonga mbele kwa advantage ya magoli mengi[emoji16] keep waiting. hii coment itakuja kufanyiwa reference wakuu. najua mtasema mm utopolo. sawa ila ndoto zangu zinakuwaga 100%[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]
Yeah, inahitajika ili Vita asifikishe point 10. Kumbuka anazo point 4 na mechi mbilidk 80 vita club 0 alahaly 3. mechi ikiisha hivihivi, bado sare inahitajika?
Just waitLeo umekua Babu kifimbo cheza[emoji23]
Vp zile khamsa khamsa mlozotabiri Simba kufungwa bado azijafika tu?
Ulitakiwa useme hivi mapema kabla ya mechi za leo. Unaangalia matokeo halafu unajidai kuoteshwa yajayoMpira ni uchawi mkubwa sanaaa. Leo nimeota Simba hawajafuzu robo fainal.
hii ni baada ya kupigwa match zote mbili zilizobaki, hivyo akaringana na Vita club ila Vita ikasonga mbele kwa advantage ya magoli mengi😁 keep waiting. hii coment itakuja kufanyiwa reference wakuu. najua mtasema mm utopolo. sawa ila ndoto zangu zinakuwaga 100%🤣🤣🤣