Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Bado hujamuona nikuoneshe alipo?Chasambi yupo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujamuona nikuoneshe alipo?Chasambi yupo wapi?
Unauhakika unacho Kinena?!Makolo wakishapata goli tu huwa wanajisahau ndo wanapoadhibiwa 😁
Kwa ivo anatumika kummaliza Ki?Si shabiki wenu
Daaah nilisahau kuwa huyu kipa alikuwa na redSi alipewa Red
Yule aliedaka si dogo kapandishwa under 17 kama sio 20
Hapana, alishahamia UTO,Si shabiki wenu
Wameyarusha ila yamezidiwa na ubaya ubwela. Si unaona wachezaji miguu yao mizito na wanakosa magoli ya waaazi?Leo majini yamezuiwaView attachment 3233373
Naona leo full shangwe haya bwana mimi nipo nawaangalia nikiwa hapa kitaa na konyagi yangu karibu sana muhasibu ChasambiNipo nipo benchi la mbele kabisa ya kibanda umiza
Fawanews.com hii link tunza kila muda mnapatiwaNaombeni link
Kwa ivo anatumika kummaliza Ki?
Hapana alikataaHapana, alishahamia UTO,
Hakika na atatupia tena kipindi Cha piliTayari
Mwajipima nguvu na mgonjwa kitandaniMapema sana... Mnyama kileleni kuleeeeee