Unampiga kibonde goli 3 na bado unaona umefanya kazi ya ziada,,prison kwa hali aliyonayo alistahili chuma si chini ya 5,,timu kama hizi yanga ndio anatoa adhabu stahili alafu mnakuja kubetua midomo kwamba yanga anahonga wakati uwezo wenu ndio huo!Points 3, goli 3, Clean sheet, killeleni.
Kwani hizo 5 zimepigwa timu ngapi?Sawa mkuuu shinda tanò kwa KMC Next game
KMC anaenda kumkanda mtu na shoga ake ndani ya wiki moya. Wakikutana watahadithiana nani kainjoy show zaidi.Sawa mkuuu shinda tanò kwa KMC Next game
Baba Mimi sio Ally kamwe,Kwani hizo 5 zimepigwa timu ngapi?
Punguza makasiriko😆😀😃😂Kwani hizo 5 zimepigwa timu ngapi?
Mbona Jana alikwepo kikosi cha Kwanza hakuna kituKwenye hizi nafasi ..
Imagine Clootus Chama angekuwepo watu wangekula za kutosha
KapombeKwaiyo Yanga leo tunaenda kumchangia nani. Ateba au
Kwamba msimu huu simba haijashinda hizo tanoTimu vibonde kama hizi yanga uwa anatoa dozi ipasavyo kuanzia chuma 5+,,kushinda 5 au 6 sio kwa Kila timu!
Hebu taja wachezaji wa simba ambaoo wamekondeanaTofauti ya simba na kengold ni jina tu.
Halafu wachezaji wa simba afya zao mgogoro. Wamekondeanaaaa
Tulikaa naye jukwaa kuu, boss.Umemuona ?
Mbona unaivunja red-valentine yako!!!Sipendi Simba wakifunga💔
Nyie watuuu kaahhhLeo Mpanzu atafunga goli kwa mara ya kwanza
Mkitaka kujua kama tatu nyingi kawaulize wanandoaUnampiga kibonde goli 3 na bado unaona umefanya kazi ya ziada,,prison kwa hali aliyonayo alistahili chuma si chini ya 5,,timu kama hizi yanga ndio anatoa adhabu stahili alafu mnakuja kubetua midomo kwamba yanga anahonga wakati uwezo wenu ndio huo!
Ellie Mpanzu ni mkemia mkuu.Mkemiaaa Mpanzu
Yanga ilishindwa kuifunga kibonde MC Alger goli moja tu ili iende robo fainali.Unampiga kibonde goli 3 na bado unaona umefanya kazi...