makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hapana kwangu inabidi aboreshe sana kiwango chake, ina maana ahoua huyu ni bora kuliko pacome, kwangu ni big NO.Mashabiki wa simba wamekuwa wakimuona ahuwa hana maajabu kama ya chama kwasababu kuu tu moja hachezi mpira wa kuvutia though it's true bado kuna vitu hafanyi as no but just imagine ndio msimu wa kwanza na bado hajafikisha hata nusu msimu(mechi 15) ana magoli 5,asisti 4 sio aziz ki wala chama? Na katika hao wachezaji wa3 uliowataja only the best chama tu ndio anaweza kumbeat ahuawa. Akiizoea ligi atafanya balaa.
Aziz huyu huyu ambae hana msimu mzuri, ambae alikuwa hivi msimu wake wa kwanza watu wakamkataa, mie niliamini atafanya vizuri na akafanya vizuri msimu uliofata.
Ahoua sio skills, creativity, mikimbio yake, 1st touch etc ambazo anamzidi pacome.
Anaweza kuwa na takwimu nzuri ila bado pacome ni bora mbele ya wa kwetu.