Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hatutaki mamlukiSimba Nguvu Moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki mamlukiSimba Nguvu Moja
Hicho unachokipendekeza kikifanyiwa kazi,litakufa jitu🤣🤣🤣🤣Anakosa ufundi mguuni, kuna wakati natamani Mavambo asogezwe pale juu.
Asante kwa Madini🙏Siwezi kusema hujui mpira, kila mmoja na namna anavyoutafsiri mpira.
Kwangu kwa nafasi yake, kuna vitu anakosa na akiwa navyo hivyo simba hii itakuwa bora maradufu, unapokuwa na viungo wakati wawili wanaokaba na kuchezesha timu, unahitaji namba 10 mmoja mnyumbulifu na mbunifu sana, mfano hapo simba inahitaji namba 10 mwenye ubora ule wa chama katika peak yake, ama pacome huyu, ama yule tchakei.
Kwani nyie hamjawahi fungwa tano5? Manatuchosha na kumbukumbu zenu za magoli ya milango ya nyuma...Kwa kuwafunga mara 4 mfululizo au
Shehe ulikuwa umelala bila shaka,mechi imeshaisha kitambo na matokeo ni 4:0Jaman simba mechi saa ngapi
Siyo malalamiko Bali ndiyo ukweli wenyewe😄😀😃Sasa hivi huwezi kusikia lawama Kwa GSM Kwavile makolo wameshinda ila wakipigwa tu utasikia GSM tunampa siku 7,wazee wa makolo Kwa ujinga hawajambo wanataka kumpangia tajiri matumizi ya pesa zake,inachekesha
Ubora upi wa pacome unaohitajika ambao simba umekosekana, Pacome ni ubora wake upo kwenye nini maana hata namba zake adhilizishi toka msimu uliopita?Siwezi kusema hujui mpira, kila mmoja na namna anavyoutafsiri mpira.
Kwangu kwa nafasi yake, kuna vitu anakosa na akiwa navyo hivyo simba hii itakuwa bora maradufu, unapokuwa na viungo wakati wawili wanaokaba na kuchezesha timu, unahitaji namba 10 mmoja mnyumbulifu na mbunifu sana, mfano hapo simba inahitaji namba 10 mwenye ubora ule wa chama katika peak yake, ama pacome huyu, ama yule tchakei.
Ni 009kila nikikumbuka dube 008 [emoji22]
ImeishaJaman simba mechi saa ngapi
Naongelea la kijiliKwani nyie hamjawahi fungwa tano5? Manatuchosha na kumbukumbu zenu za magoli ya milango ya nyuma...
Nyie wa mpira takwimu huwa sibishani na nyie, hamchelewi kusema haland bora kushinda de lima...Ubora upi wa pacome unaohitajika ambao simba umekosekana, Pacome ni ubora wake upo kwenye nini maana hata namba zake adhilizishi toka msimu uliopita?
Mashabiki wa simba wamekuwa wakimuona ahuwa hana maajabu kama ya chama kwasababu kuu tu moja hachezi mpira wa kuvutia though it's true bado kuna vitu hafanyi as no but just imagine ndio msimu wa kwanza na bado hajafikisha hata nusu msimu(mechi 15) ana magoli 5,asisti 4 sio aziz ki wala chama? Na katika hao wachezaji wa3 uliowataja only the best chama tu ndio anaweza kumbeat ahuawa. Akiizoea ligi atafanya balaa.Siwezi kusema hujui mpira, kila mmoja na namna anavyoutafsiri mpira.
Kwangu kwa nafasi yake, kuna vitu anakosa na akiwa navyo hivyo simba hii itakuwa bora maradufu, unapokuwa na viungo wakati wawili wanaokaba na kuchezesha timu, unahitaji namba 10 mmoja mnyumbulifu na mbunifu sana, mfano hapo simba inahitaji namba 10 mwenye ubora ule wa chama katika peak yake, ama pacome huyu, ama yule tchakei.
Sasa hivi huwezi kusikia lawama Kwa GSM Kwavile makolo wameshinda ila wakipigwa tu utasikia GSM tunampa siku 7,wazee wa makolo Kwa ujinga hawajambo wanataka kumpangia tajiri matumizi ya pesa zake,inachekesha