Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Siwezi kusema hujui mpira, kila mmoja na namna anavyoutafsiri mpira.

Kwangu kwa nafasi yake, kuna vitu anakosa na akiwa navyo hivyo simba hii itakuwa bora maradufu, unapokuwa na viungo wakati wawili wanaokaba na kuchezesha timu, unahitaji namba 10 mmoja mnyumbulifu na mbunifu sana, mfano hapo simba inahitaji namba 10 mwenye ubora ule wa chama katika peak yake, ama pacome huyu, ama yule tchakei.
Asante kwa Madini🙏
 
Ubora upi wa pacome unaohitajika ambao simba umekosekana, Pacome ni ubora wake upo kwenye nini maana hata namba zake adhilizishi toka msimu uliopita?
 
Nyie wa mpira takwimu huwa sibishani na nyie, hamchelewi kusema haland bora kushinda de lima...

Japo mie si muumini wa takwimu, hebu weka wewe takwimu zako tuone.
Mimi takwimu zinakuja baada ya kuona, mie ninatizama mpira na kuona pacome ni bora mara kadhaa kuliko ahoua.
 
Siwezi kusema hujui mpira, kila mmoja na namna anavyoutafsiri mpira.

Kwangu kwa nafasi yake, kuna vitu anakosa na akiwa navyo hivyo simba hii itakuwa bora maradufu, unapokuwa na viungo wakati wawili wanaokaba na kuchezesha timu, unahitaji namba 10 mmoja mnyumbulifu na mbunifu sana, mfano hapo simba inahitaji namba 10 mwenye ubora ule wa chama katika peak yake, ama pacome huyu, ama yule tchakei.
Mashabiki wa simba wamekuwa wakimuona ahuwa hana maajabu kama ya chama kwasababu kuu tu moja hachezi mpira wa kuvutia though it's true bado kuna vitu hafanyi as no but just imagine ndio msimu wa kwanza na bado hajafikisha hata nusu msimu(mechi 15) ana magoli 5,asisti 4 sio aziz ki wala chama? Na katika hao wachezaji wa3 uliowataja only the best chama tu ndio anaweza kumbeat ahuawa. Akiizoea ligi atafanya balaa.
 
Sasa hivi huwezi kusikia lawama Kwa GSM Kwavile makolo wameshinda ila wakipigwa tu utasikia GSM tunampa siku 7,wazee wa makolo Kwa ujinga hawajambo wanataka kumpangia tajiri matumizi ya pesa zake,inachekesha

Yanga kaliwa.

Yanga kapakatwa.

Yanga kalambishwa lolo.

Yanga kakaangwa.

Yanga kapigwa kidude.

Yanga kachumishwa mchicha.

Silaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...............kwani we huogopi.
 
Back
Top Bottom