Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Mbona Ahoua naona ndo mchezaji hatari zaidi Simba lakini dizaini kama anachukuliwa powa au mi ndo sijui mpira?
Siwezi kusema hujui mpira, kila mmoja na namna anavyoutafsiri mpira.

Kwangu kwa nafasi yake, kuna vitu anakosa na akiwa navyo hivyo simba hii itakuwa bora maradufu, unapokuwa na viungo wakati wawili wanaokaba na kuchezesha timu, unahitaji namba 10 mmoja mnyumbulifu na mbunifu sana, mfano hapo simba inahitaji namba 10 mwenye ubora ule wa chama katika peak yake, ama pacome huyu, ama yule tchakei.
 
Sasa hivi huwezi kusikia lawama Kwa GSM Kwavile makolo wameshinda ila wakipigwa tu utasikia GSM tunampa siku 7,wazee wa makolo Kwa ujinga hawajambo wanataka kumpangia tajiri matumizi ya pesa zake,inachekesha
 
Back
Top Bottom