Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Post number 14 likiongezeka ni ziada
Screenshot_20241106-173348.png
 
Je wajua KMC hata kabla ya mechi haijaanza tungesema tunawapa mabao matatu ya kuongoza

Lakini baada ya dakika 90 bado mechi ingeisha wao wakiwa wamefungwa?
hata mechi ya yanga angewapa goli moja mechi ingeisha sare
 
Mtu akisikia kwenye media mechi inayoendelea sasa hivi kuna timu imefungwa bao 4.

Mtu huyo akaingia chap Azam Max kuangalia hiyo game, kwa pupa zake akakurupukia kucheki flow ya game akasahau kuangalia scoreboard.

Atasema hao wenye nyekundu ndio waliofungwa 4 na hapo wapo kwenye kupambana ili wapate hata moja la kufutia machozi.
 
Ahoua ajiongeze, simba inahitaji ubunifu toka kwa namba 10, pasi aliyoipiga debora kwa kapombe, dk 3 nyuma ahoua alishindwa kupiga pasi kama hiyo kwa mukwala, ambayo ingemfanya mukwala abaki yeye na kipa..
Mbona Ahoua naona ndo mchezaji hatari zaidi Simba lakini dizaini kama anachukuliwa powa au mi ndo sijui mpira?
 
hata mechi ya yanga angewapa goli moja mechi ingeisha sare
Katika zile goli 4 yani penati tatu alizofanyiwa rafu Kibu pamoja na lile goli lake ambalo lilikataliwa kuwa ni offside

Wewe ndio unatamani angeruhusu moja katika hayo manne?

Ulipenda aruhusu goli lipi sasa?
 
Back
Top Bottom