zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
marefa hawa mtu akienda kukandwa wanamalizq mpira marefa wa ajabu sanaMarefa hawataki zifike tano...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
marefa hawa mtu akienda kukandwa wanamalizq mpira marefa wa ajabu sanaMarefa hawataki zifike tano...!
Bila kayoko au na kayoko akiwemo?kama timu yako nzima ilipigwa ngapi acha kupigwa imepigwa mara ngap mfululizo
Bado una handasi za ukwaju kaa utuliemarefa hawa mtu akienda kukandwa wanamalizq mpira marefa wa ajabu sana
5-1Kama KMC wabovu timu yako iliwafunga ngapi.
Utatukanwa, mi simoDube ana goal ngapi mpaka sasa
yule refa alifurahisha sana, mambo ya aibu mnoooBado una handasi za ukwaju kaa utulie
Tesekaa taratibu bwasheeee, PoleeeeeeeMbona unajihami?!..bahasha fc, miamala sc
hata mechi ya yanga angewapa goli moja mechi ingeisha sareJe wajua KMC hata kabla ya mechi haijaanza tungesema tunawapa mabao matatu ya kuongoza
Lakini baada ya dakika 90 bado mechi ingeisha wao wakiwa wamefungwa?
Usiwe mkorofi kutia msumari wa moto kwenye kidonda😀😃😆Dube ana goal ngapi mpaka sasa
Tunaua huku
Mbona Ahoua naona ndo mchezaji hatari zaidi Simba lakini dizaini kama anachukuliwa powa au mi ndo sijui mpira?Ahoua ajiongeze, simba inahitaji ubunifu toka kwa namba 10, pasi aliyoipiga debora kwa kapombe, dk 3 nyuma ahoua alishindwa kupiga pasi kama hiyo kwa mukwala, ambayo ingemfanya mukwala abaki yeye na kipa..
Katika zile goli 4 yani penati tatu alizofanyiwa rafu Kibu pamoja na lile goli lake ambalo lilikataliwa kuwa ni offsidehata mechi ya yanga angewapa goli moja mechi ingeisha sare